Menu Fermer

Hili Ni Neno Langu. A Na Ω. Injili Ya Yesu

Hili Ni Neno Langu. A Na Ω. Injili Ya Yesu

Hili ni Neno Langu – A na Ω. Injili ya Yesu. Ufunuo wa Kristo unaojulikana na wakristo halisi wa dunia nzima. Ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya Yesu wa Nazareti ambaye tunamgundua kama nabii ashuhuri sana kuliko manabii wote wa Mungu na isitoshe, aliyekuwa Mwalimu mkuu.
Katika mabadiliko hii ya enzi, ni Kristo mwenyewe ndiye alifunua kupitia unabii wa Gabriele, nabii-mwalimu, ukweli wote uhusu
mafundisho na maisha yake duniani katika Yesu wa Nazareti. Anaeleza tena kwamba hajawahi kuunda dini wala kuwakabidhi makasisi madaraka.

Pakua broshura ya bure