Menu Fermer

Uwezekano Wa Kuzaliwa Upya Katika

Swahili "Uwezekano Wa Kuzaliwa Upya Katika" Gabriele

Uwezekano wa kuzaliwa upya katika mwilii wa mwanadamu

ni neema ya Uzima

Madondoo ya brosha :
« Kila mwanadamu huchagua kuzaliwa upya kwa nafsi yake duniani au kufuata kwa dhati njia ya kurudi maskani kwa Baba. Ndiyo sababu Wamilele alifundisha Amri kumi kupitia Musa, tena ndiyo sababu Mwanae, Yesu, Kristo, alikuja na akatufundisha upendo wa Mungu na njia ya kurudi kwa Baba. Kupitia upendo wake usio na mwisho kwetu sisi Wanadamu, Mungu alituletea uhuru na nuru. »

Pakua broshura ya bure